Safisha

Ukiichagua zana ya kusafisha, ukivuta kwenye ramani utaunda eneo la uteuzi wa mstatili.

Kulingana na chaguo uliloteua kwenye kisanduku cha mazungumzo hapa chini, kubofya kitufe cha kufuta kutaondoa pointi za GPS na/au nukta za kuvutia zilizopo ndani au nje ya eneo lililoteuliwa.

Select a trace to clean GPS points and points of interest.